Wanafunzi waliokamilisha kidato cha nne wahimizwa kusomea kozi za udereva na kompyuta

  • | KBC Video
    6 views

    Wanafunzi waliokalisha masomo ya kidato cha nne wamehimizwa kusomea kozi za udereva na kompyuta wanaposubiri kuendelea na elimu yao kwenye taasisi za elimu ya juu. Baadhi ya wadau kwenye sekta ya udereva katika kaunti ya Kiambu pia wamewataka wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka-2022 kukumbatia kozi za kiufundi zinazotolewa katika vyuo vya mafunzo ya kiufundi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News