Wanafunzi waliokimbia vita Ukraine wahofia kukamatwa na maafisa wa uhamiaji Poland

  • | VOA Swahili
    124 views
    Wanafunzi waliokimbia vita Ukraine wahofia kukamatwa na maafisa wa uhamiaji Poland Mamia ya Wanafunzi waliokimbia vita nchini Ukraine na kutafuta hifadhi katika nchini mbalimbi barani Ulaya wanakabiliwa na hofu ya kukamatwa na askari idara ya Uhamiaji nchini Poland kwa kukosa vibali halali vya kuwaruhusu kuishi na kusoma nchini humo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.