Wanafunzi wanaojiunga na sekondari ya msingi wafika shule zao kama ilivyotarajiwa

  • | Citizen TV
    473 views

    Shughuli zimeendelea katika shule mbalimbali za msingi nchini huku wanafunzi wanaojiunga na sekondari ya msingi wakifika shule zao kama ilivyotarajiwa.