Wanafunzi wanne wakosa kuandika mtihani kwa majina yao kukosekana Butere

  • | West TV
    39 views
    Huku mtihani wa kitaifa KCPE wa shule ya msingi ukinoa nanga hii leo, baadhi ya watahiniwa watatu wa darasa la Nane kutoka shule tofauti, wamegadhabishwa kwa kukosa kuukalia mtihani huo baada ya majina yao kukosa kwenye sajili ya watahiniwa, huku mwanafunzi mmoja wa kike wa shule ya msingi ya Bumamu akilazimika kuufanyia mtihani wake hospitalini baada ya kujifungua.