Wanafunzi waongoza kampeni ya kupinga mihadarati Pwani

  • | Citizen TV
    51 views

    Rais wa jumuiya ya wanafunzi wa Pwani David Mtsongori na mwenzake wa kilifi Kahindi James wamefichua kuwa asilimia kubwa ya vijana nchini ni waraibu wa mihadarati akisema kuwa wanashirikiana na mashirika ya kupambana na mihadarati ili kukomesha hali hiyo