Wanafunzi wapigwa Eldoret

  • | Citizen TV
    1,349 views

    Wanafunzi 36 wa shule ya wasichana ya Maikona kaunti ya Marsabit wanauguza majeraha baada ya kuadhibiwa na walimu. Wanafunzi waliojeruhiwa wanaripotiwa kukaidi agizo la walimu kwa kulalamikia kushinda na njaa wakati wa mashindano ya muziki. Sasa tume ya waalimu nchini TSC imeanzisha uchunguzi