Wanafunzi wapokea msaada wa visodo

  • | KBC Video
    12 views

    Wizara ya ulinzi ya Marekani imetoa zaidi ya visodo milioni 2 kusambazwa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari . Katibu wa wizara ya elimu anayaeondoka Dkt. Julius Jwan amepongeza hatua hiyo akisema visodo hivyo vitasaidia pakubwa kuhakikisha wasichana hawakumbwi na changamoto wanapofanya mitihani ya kitaifa itakayoanza tarehe 28 mwezi Novemba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1#education #sanitarypad