Wanafunzi wapunguziwa idadi ya masomo

  • | Citizen TV
    3,138 views

    Wanafunzi wa walimu chini ya mfumo wa CBC sasa wamepunguziwa kazi. Ripoti ya jopokazi kuhusu mabadiliko katika sekta ya elimu imewapunguzia wanafunzi masomo huku mfumo wa mitihani ya KPSEA katika gredi ya sita, tisa na 12 ukifanyiwa marekebisho. Mabadiliko hayo pia yanahusisha huduma ya lazima kwa jamii kabla na baada ya masomo ya sekondari.