Wanafunzi washiriki katika maonyesho ya utamaduni Eldoret

  • | K24 Video
    41 views

    Wadau katika sekta ya elimu kaunti ya Uasin Gishu wamehimizwa kukumbatia elimu za mila na tamaduni za Afrika kama njia mojawapo ya kudumisha maadili ya jamii miongoni mwa wanafunzi. Wadau hao waliokuwa wakizungumza katika hafla ya maonyesho ya kitamaduni eneo hilo wamesema hilo litasaidia kukinga kizazi cha sasa kutokana na maadili potovu