16 Sep 2025 1:36 pm | Citizen TV 727 views Duration: 2:09 Wanafunzi watatu kutoka Shule ya Msingi na ya Sekondari ya Sweet Waters kaunti ya Laikipia wanajiandaa kuiwakilisha Kenya katika mashindano ya ulimwengu ya roboti yatakayofanyika nchini Singapore mwezi Novemba mwaka huu.