- 414 viewsDuration: 2:52Na Mgomo wa wahadhiri unapoendelea kulemaza shughuli za masomo ya maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma kote nchini, baadhi ya wanafunzi wamejitafutia shughuli ili kukidhi mahitaji yao. wengine sasa wamegeukia biashara na kazi za ujenzi kujipatia mapato