Wanafunzi wavumbua mitambo ya kielektroniki

  • | Citizen TV
    65 views

    Baadhi ya wanafunzi wa kaunti ya Marsabit sasa wanabadili historia ya kaunti yao kutoka kuwa wafugaji wa ngamia na ng’ombe hadi kuwa wabunifu wa kiteknolojia.