26 Aug 2025 1:24 pm | Citizen TV 508 views Duration: 2:11 Baadhi ya wanafunzi wa kaunti ya Marsabit sasa wanabadili historia ya kaunti yao kutoka kuwa wafugaji wa ngamia na ng’ombe hadi kuwa wabunifu wa kiteknolojia.