Wanafunzi wengi wageukia biashara ya boda boda Malindi

  • | Citizen TV
    184 views

    Wazazi kutoka eneo bunge la malindi kaunti ya kilifi wamepewa onyo na washikadau mbalimbali baada ya kubainika kuwa idadi ya watoto wanaojiungana na sekta ya boda boda imeongezeka.