Wanafunzi wengi wahitaji ufadhili kujiunga na kidato cha kwanza

  • | K24 Video
    21 views

    Huku masomo ya kidato cha kwanza yakiwa yameanza katika shule nyingi sambamba na kuingia kwa awamu ya mwisho ya wanafunzi wengine kujiunga na shule za upili, wasiwasi umeibuka katika kaunti ya TanaRiver kutokana na idadi ndogo ya wanafunzi iliyojitokeza kujisajili. Kwa mujibu wa mbunge wa Garsen ali wario na mkurugenzi wa idara ya elimu Tana Delta, Faisal Obbo kuna baadhi ya shule zilizosajili mwanafunzi mmoja tu wa kidato cha kwanza tangu shughuli ianze wiki mbili zilizopita.