Wanafunzi wengi wakosa kupata ufadhili wa masomo kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    122 views

    Zaidi ya Wanafunzi ishirini kutoka familia zenye kipato cha chini waliokosa kupata ufadhili kwenye eneo bunge la Bumula katika kaunti ya Bungoma sasa wamepata afueni baada ya mbunge wa eneo hilo Wanami wamboka kuwalipia karo na mahitaji mengine.