Wanafunzi wengi walioitwa kusomea marekani wakosa viza

  • | Citizen TV
    1,105 views

    Mpango wa kenya airlift unaitaka serikali kuwasaidia wanafunzi wanaohitimu kwenda kusomea marekani kupata viza mapema.