Wanafunzi wenye changamoto za kusikia wavuma kwa mchezo wa densi

  • | West TV
    72 views
    Mtazamaji mtu anaponyimwa uwezo fulani, huongezewa uwezo mwingine usio wa kawaida ili kumwezesha kuishi maisha ya kawaida. Huu ndio ukweli utakaokumbana nao katika shule ya wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia ya mundika katika eneo bunge la matayos kaunti ya busia ambapo wanafunzi wana uwezo wa kusakata densi kwa kucheza ala tofauti za kitamaduni. Jeremy omondi alizuru shule hiyo kubaini wanafunzi hawa wanavyotia fora katika uwezo wao tofauti