Wanafunzi wenye ujauzito na watoto wapitia changamoto Kwale

  • | Citizen TV
    Wanafunzi wenye ujauzito na watoto wapitia changamoto Kwale Baadhi ya wanafunzi hao walibakwa au kuingilia ngono za mapema Umaskini katika kaunti hiyo umechangia mimba kwa watoto Idara ya jinsia yasema mtoto mmoja hubakwa kila siku