Wanafunzi wenye ulemavu Ghana washawishiwa kupanua upeo wao kupitia upigaji picha

  • | VOA Swahili
    32 views
    Kwa wanafunzi wenye ulemavu, fursa za taalaum zinaonekana kuwa ni chache. Lakini nchini Ghana, mwandishi mmoja wa habari anatumia uandishi wa kupiga picha ili kuwashawishi wanafunzi katika shule ya viziwe kupanua upeo wao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.