Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wenye ulemavu wa kuona washiriki michezo ya kitaifa kupitia ‘Tucheze Pia’

  • | NTV Video
    146 views
    Duration: 52s
    Hatua kubwa imepigwa katika kuimarisha ushirikishaji wa michezo nchini huku ‘Tucheze Pia’ kupitia ‘Alive and Kicking Kenya’ ikisherehekea ushiriki wa wanafunzi wenye ulemavu wa kuona katika michezo ya kitaifa ya shule za sekondari ya muhula wa pili inayoendelea mjini Thika. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya