22 Oct 2026 1:31 pm | Citizen TV 98 views Wanafunzi zaidi ya 11, 000 kutoka Mwingi magharibi walizawadiwa viatu na wakfu wa Jonathan Ngenga ikiwa ni mojawapo wa malengo ya shirika hilo ya kuisaidia jamii.