Wanafunzi zaidi ya 48,000 wanahitaji msaada wa elimu West Pokot

  • | Citizen TV
    157 views

    Kwa mujibu wa idara ya Elimu, wanafunzi zaidi ya alfu 48 katika kaunti ya pokot magharibi wanahitaji msaada wa masomo ili kuendeleza masomo yao ya shule za upili na vyuo vikuu. na Kama anavyoarifu collins shitiabayi, hali hii imechochewa na umaskini na ukame katika kaunti hiyo.