Wanafunzi zaidi ya elfu 11 wapata ufadhili wa karo, Loitoktok,Kajiado

  • | Citizen TV
    509 views

    Wanafunzi zaidi ya elfu 11 katika eneo la Loitokitk kaunti ya kajiado wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kupata ufadhili wa karo wa shilingi milioni 55.