Wanahabari Mashujaa

  • | K24 Video
    Wakenya hii leo  wameadhimisha miaka 57 tangu taifa kujinyakulia Uhuru, baadhi ya wakenya kutoka taaluma mbali mbali wametambulika hasa wakati huu wa janga la corona, lakini iwapo hawajatambulika ipasavyo, wanahabari pia wamekuwa katika mstari wa mbele dhidi ya vita hivi kukuletea wewe mtazamaji taarifa pasi na janga hilo kutanda kote nchini.