Wanahabari wa kike watoa wito wa kutambuliwa zaidi

  • | KBC Video
    Wanahabari wa kike hapa nchini wamesema wanalazimika kujiondoa kwenye taaluma hiyo kutokana na visa vya ubaguzi wa kijinsia, mashindao yasio ya haki na mazingira magumu ya kikazi. Kupitia tawi la Kenya la chama cha kimataifa cha wanawake wanaofanya kazi kwenye vituo vya redio na runinga, wanahabari hao wametoa wito wa juhudi za pamoja za wadau wa sekta ya vyombo vya habari kushughulikia suala hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive