Wanahabari waandamana mijini mikuu nchini wakilalamika manyanyaso

  • | NTV Video
    1,509 views

    Mamia ya wanahabari mchana huu walijitokeza katika maandamano ya wanahabari, kutetea uhuru wa utendakazi wao. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Brian Muchiri, sauti za wanahabari zimesikika baada ya kufikishwa katika afisi tajika nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya