Wanahabari wafunzwa mbinu za kuripoti mizozo ya kijamii

  • | Citizen TV
    202 views

    Wanahabari na watumizi wa mitandao katika kaunti ya Kwale wamepokea mafunzo yanayotoa mwongozo wa kuripoti mizozo na kuhimiza amani katika jamii.