Wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo bado hawajulikani walipo.
Mamlaka za Uganda zashindwa kuwafikisha mahakamani Jumanne.
Kesi yaahirishwa hadi leo saa mbili asubuhi.
Upande wa mashtaka waagizwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kabla ya mwisho wa siku.
Nicholas Oyoo na Bob Njagi wanadai kutekwa nyara Uganda.
Wawili hawa hawajulikani waliko kwa siku 21 sasa.
Mahakama yaamrisha serikali kuwafikisha mahakamani leo.
#TV47Matukio
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'
*About TV47*
'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__