Wanaharakati DRC waliomba Baraza la UN kuchunguza mauaji

  • | VOA Swahili
    4,586 views
    Baadhi ya mashirika ya kiraia na yakutetea haki za binadamu DRC yameomba Baraza la Umoja wa Mataifa kuanzisha uchunguzi haraka kuhusu mauaji ya waandamanaji zaidi ya ishirini. - Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa utegemezi wa uchumi wa dunia kwa dola ya Marekani. - Russia imetoa gesi kidogo kwa Umoja wa Ulaya. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.