Wanaharakati huko Garissa watoa hamasisho kuhusu ukeketaji

  • | Citizen TV
    677 views

    Kaunti ya Garissa ni miongoni mwa kaunti kumi zilizo na idadi kubwa ya vifo vya kina mama na watoto wakati wa kujifungua. Ukeketaji umetajwa kuwa mojawapo ya sababu kuu za ongezeko hili.