Wanaharakati Kenya waeleza kero yao juu ya serikali kuruhusu GMO

  • | VOA Swahili
    53 views
    Kuondolewa kwa marufuku ya bidhaa za GMO kunazidi kuzua hisia kali nchini Kenya leo ikiwa siku ya mashirika ya kijamii kueleza dukuduku lao wakisema soko la Kenya la nje la kuuza bidhaa litaathirika kwa kiasi kikubwa. Kadhalika wanakosoa kuwa serikali haijawahusisha wadau kutoa maoni yao kabla ya kufanya maamuzi haya. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.