Wanaharakati Makueni wafanya kikao na wanahabari kulalamikia dhulma kutoka kwa polisi

  • | Citizen TV
    972 views

    Muungano wa mashirika ya wanahatakati kaunti ya Makueni watafanya kikao na wanahabari kuhusiana na maandamano ya muungano wa azmio na police kutumia nguvu kuliko kiasi.