Wanaharakati wa masuala ya amani na usawa wazindua sera ya amani katika Kaunti ya Migori

  • | KBC Video
    9 views

    Wanaharakati wa masuala ya amani na usawa kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Migori wamezindua sera ya amani ambayo itasaidia kupunguza na kuzuia vurugu katika kaunti hiyo. Wakiongozwa na mwenyekiti wao, Omolle Opinya wanaharakati hao wanasema uamuzi huo uliafikiwa kufuatia ongezeko la visa vya dhuluma katika kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC