Wanaharakati waendeleza vita dhidi ya ukeketaji katika kaunti ya Garissa

  • | Citizen TV
    328 views

    Wanaharakati wa kupambana na uketetaji katika kaunti ya Garissa wametaja mila na desturi za jamii kutoka kaskazini mwa nchi kama kizingiti katika kumaliza dhulma hii dhidi ya mtoto msichana.