Wanaharakati waitaka serikali kuingilia kati hali ya kisiasa nchini

  • | NTV Video
    734 views

    Wanaharakati mbalimbali nchini wameitaka serikali kuingilia kati hali ya kisiasa inayoshika kasi. Wameelezea wasiwasi wao kuhusu mateka yanayoendelea kutokea katika sehemu mbalimbali za nchi. pia wamezungumzia kuhusu tume huru ya uchaguzi na mipaka ncini - IEBC, wakisema tume hiyo imekuwa na ufanisi mdogo tangu mwezi machi, baadhi ya majimbo yakikosa wawakilishi serikalini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya