Wanaharakati waitaka serikali kukaza kamba

  • | Citizen TV
    256 views

    Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu ukanda wa Pwani yanaitaka serikali kudhibiti usalama na kukomesha mashambulizi ya kigaidi katika kaunti ya Lamu.