Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati wakosoa matamshi ya Rais Samia kuhusu wanaharakati na vijana wa Gen-Z

  • | Citizen TV
    6,875 views
    Duration: 3:04
    Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini wamekashifu matamshi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhusu kuwapiga wanaharakati na vijana wa Gen-Z wanaotetea demokrasia nchini Kenya na Tanzania. Wanaharakati hao wamesema kuwa Rais Suluhu anaeneza ukandamizaji Afrika Mashariki na kukiuka haki kufuatia matamshi yake.