Wanaharakati wameitaka serikali kusitisha awamu ya tano ya ufukuzi wa makaburi Shakahola

  • | NTV Video
    217 views

    Wanaharakati wameitaka serikali kusitisha awamu ya tano ya ufukuzi wa makaburi katika shamba la shakahola, kaunti ya Kilifi wakitaja haja ya kumalizwa kwa shughuli za kupeana miili iliyofukuliwa kwanza.