Wanaharakati wapinga mpango unaopendekezwa na serikali wa kukodisha uwanja wa ndege

  • | KBC Video
    26 views

    Mwanaharakati Tony Gachoka na mawakili kadhaa chini ya muungano wa wataalamu wa maswala ya kisheria wa eneo la mlima Kenya wamepinga mpango unaopendekezwa na serikali wa kukodisha uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kwa kampuni ya Adani kutoka India kwa muda wa miaka 30.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive