Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati wataka AU kuingilia kati baada ya wenzao kutekwa nyara Uganda siku tisa zilizopita

  • | Citizen TV
    1,337 views
    Duration: 2:53
    Wanaharakati wa humu nchini na wenzao wa Uganda sasa wanataka muungano wa umoja wa Afrika na mashirika ya haki duniani kuingilia kati na kusitisha visa vya utekaji nyara vinavyoendelea katika kanda ya Afrika mashariki. Wakizungumza walipoandamana hadi afisi za ubalozi wa Uganda jijini Nairobi, wanaharakati wameshinikiza kuachiliwa kwa wakenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo waliotoweka siku tisa zilizopita wakiwa jijini Kampala