Wanahisa wa Utheri wa Lari warejeshewa shamba

  • | KBC Video
    14 views

    Zaidi ya wana-hisa elf-8 wa shamba la Utheri Wa Lari kutoka sehemu za Lari, Limuru, Kiambu na Naivasha wana kila sabbau ya kutabasamu baada ya mahakama kuagiza kuagiza warejeshewe shamba lao la ekari elf-22 lililoko Naivasha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #utheri #landgrab