20 Aug 2025 10:33 am | Citizen TV 321 views Duration: 3:06 Matokeo ya kuvutia ya harambee stars kwenye kivumbi cha CHAN 2024 hayajakuwa tu fahari ya taifa nzima bali pia yamefufua matumaini ya kulinda uwanja wa kihistoria wa kijamii wa Baba Dogo