Wanajeshi, viongozi na wafanyakazi wa Nzoia Sugar wapanga miti zaidi ya 3,000

  • | Citizen TV
    487 views

    Jeshi la Kenya Kwa ushirikiano na viongozi pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha nzoia wameungana kupanda miti Zaidi ya elfu tatu kwenye ardhi ya kiwanda hicho kama njia moja ya kutimiza ruwaza ya Rais ya upanzi wa miti bilioni 15 ifikapo mwaka wa 2032.