Wanajeshi waliopigania vita vya pili vya dunia wakumbukwa Kakamega na serikali ya Uingereza

  • | West TV
    37 views
    Wanajeshi wakongwe kumi na watano kutoka uliokuwa mkoa wa magharibi walioshiriki vita vya pili vya dunia wamepewa upya medali na serikali ya uingereza, wakitaka serikali ya kitaifa kuzingatia kuboresha maisha yao kwani kwa sasa wanaishi katika hali ya uchochole