4 Sep 2025 1:14 pm | Citizen TV 420 views Duration: 4:31 Jopo la wataalamu wataoongoza mchakato wa kuwalipa fidia waathiriwa wa maandamano limeapishwa katika jumba la KICC.