- 2,994 viewsDuration: 2:04Jamaa za familia moja kutoka kijiji cha Nyakongo kaunti ndogo ya Nyamira Kaskazini wamelazimika kukimbilia usalama wao, baada ya wanakijiji wenye ghadhabu kuvamia boma lao na kuteketeza nyumba zaidi ya nne kabla kufyeka mimea yote shambani.