Wanamazingira wahifadhi ekari 700 za mikoko eneo la Kwale

  • | Citizen TV
    500 views

    Kikundi cha mikoko pamoja katika vijiji vya Gazi na Makongeni eneo la Msambweni kaunti ya Kwale kimehifadhi ekari 700 za mikoko katika juhudi za kuhifadhi mazingira.