Wanamazingira wakosoa agizo la Rais William Ruto la kukata miti

  • | Citizen TV
    570 views

    Hatua ya Rais William Ruto kuondoa marufuku ya ukataji miti imeibua shutuma kutoka kwa wanaharakati wa mazingira wanaosema kuwa hatua hiyo itasababisha ukataji miti kiholela. Wanaharakati hao wanasema uamuzi wa Rais utarudisha nyuma hatua zilizopigwa kwa miaka mitano ya marufuku hiyo