Wanamazingira washinikiza uthathmini wa kimazingira kabla ya ujenzi wa kituo cha kinuklia Kilifi

  • | KBC Video
    8 views

    Watetezi wa utunzi wa mazingira wanataka utathmini wa athari za kimazingira ufanywe kabla ya ujenzi wa kituo cha kinuklia kwa gharama ya shilingi bilioni-500 katika kijiji cha Uyombo eneo la Matsangoni kaunti ya Kilifi.Wakiongozwa na mkurugenzi mkuu wa kituo cha kutetea haki, uongozi bora na mazingira, Phyllis Omido, wana-mazingira hao wanasema shirika la kawi ya kinuklia ambalo litasimamia ujenzi wa kituo hicho halijatekeleza utathmini wala kushirikisha wananchi kuhusu athari za mradi huo kwa mazingira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive